Dabo Aibuka na Kumjuza Mbinu Toure ya Kutoboa Yanga na Ligi Kuu

KOCHA wa zamani wa Azam FC, Yusuf Dabo, ameibuka na kumtumia ujumbe mzito mshambuliaji mpya wa Yanga SC, Cheikh Toure, huku akimpa mbinu za kiufundi zitakazomsaidia kutoboa na kufanya vizuri katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Toure (29), raia wa Senegal mwenye uraia wa Ufaransa, alijiunga na Yanga mwezi Julai 2026 kama mchezaji huru kwa […]

The post Dabo Aibuka na Kumjuza Mbinu Toure ya Kutoboa Yanga na Ligi Kuu appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/Gc5Atbj
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post