MAKIPA Hussein Masalanga wa Yanga na Aaron Kalambo wa Transit Camp FC wameamua kuweka nguvu zao katika kuendeleza makipa chipukizi kufikia ndoto zao. Makipa hao wameamua kuanzisha kituo cha soka cha magolikipa mkoani Dodoma ambapo wanatarajia kufanya majaribio kuanzia Julai 17 hadi 24 watachukua wanaume na wanawake. Masalanga alisema wataanza na magolikipa 30 ambao watakuwa […]
The post MASALANGA, KALAMBO WAWEKEZA NGUVU KUINUA VIPAJI appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/Rqy2eGa
via IFTTT
Post a Comment