KIGONGO kikubwa cha usajili kinaendelea kuwaka moto huku taarifa zikidai mabosi wa Yanga wameanza kufanya mawasiliano ya chini kwa chini kwa lengo la kuinasa sainiya kiungo mshambuliaji Adolf Bitegeko kutoka Azam FC, kuelekea dirisha kubwa la usajili wa msimu ujao. Bitegeko ambaye kwa sasa anakitumikia kikosi cha Azam FC, anaripotiwa kubakiza miezi sita pekee kwenye […]
The post YANGA YAMUWINDA BITEGEKO KIMYA KIMYA appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/SnHwoFc
via IFTTT
Post a Comment