KOCHA Msaidizi wa Simba SC, Selemani Matola, amesema mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji FC hautakuwa mwepesi hata kidogo, akibainisha kuwa maandalizi yao yote yamelenga kuhakikisha wanapata pointi tatu muhimu nyumbani. Akizungumza kuelekea mtanange huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaopigwa Jumamosi, Matola amekumbusha ugumu walioupata kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa ugenini, ambapo Simba walilazimika […]
The post SIMBA YATIKA KWA HASIRA MECHI YA KISASI DHIDI YA DODOMA JIJI appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/wb5xB94
via IFTTT
Post a Comment