MATOKEO Yanga SC vs Al Hilal October 08 2022 CAF Champions League - EDUSPORTSTZ

Latest

MATOKEO Yanga SC vs Al Hilal October 08 2022 CAF Champions League

MATOKEO Yanga SC vs Al Hilal October 08 2022 CAF Champions League

MATOKEO Yanga SC vs Al Hilal October 08 2022 CAF Champions League

Matokeo Yanga vs Al Hilal CAF Champions League 2022/2023 ,Young Africans vs Al Hilal, Matokeo ya Young Africans vs AL-Hilal, Matokeo Yanga vs Al-Hilal CAF Champions League, matokeo Yanga vs Al Hilal CAF, Matokeo Al Hilal vs Yanga, Al Hilal wapinzani wa Yanga, Ifahamu Al Hilal wapinzani wa Yanga CAF Champions League 2022/2023.MATOKEO Yanga SC vs Al Hilal October 08 2022 CAF Champions League

BAADA ya Ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023) uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga inahamishia makali yake katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.

Jumamosi hii ya October 08,2022 kuanzia saa 10:00, Klabu ya Yanga itashuka katika dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kuwakaribisha Al Hilal Omdurman ya Sudan.

Young Africans inahitaji kumaliza mchezo huo nyumbani ili kuwa na asilimia kubwa ya kutinga hatua ya Makundi ambayo walifika kwa mara ya mwisho mwaka 1998.MATOKEO Yanga vs Al Hilal

NIJUZE HABARI kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta moja kwa moja Matokeo ya mchezo huo (Live Updates) pamoja na Kikosi kitakachoanza mapema iwezekanavyo.

BOFYA HAPA kuona Matokeo au HAPA kuona Kikosi.Matokeo ya CAF Yanga vs Al Hilal September 08,2022, Matokeo Yanga vs Al Hilal tarehe 08.10.2022, Matokeo Yanga vs Al Hilal October 16, Yanga vs Al Hilal tarehe 16,2022, Yanga vs Al Hilal October 08, 2022.MATOKEO Yanga vs Al Hilal

Viingilio vya Mchezo huo vitakuwa Tsh 3,000 kwa Mzunguko kama utanunua tiketi kabla ya siku ya mchezo, kwani siku ya mchezo yaani October 08,2022 tiketi hizo zitapatikana kwa Tsh 5,000.

Kwa VIP A itakuwa ni Tsh 15,000 huku VIP B na C ikiwa ni Tsh 10,000.

Aidha kuelekea Mchezo huo wa Kimataifa ambao Mashabiki na Wanachama wa Yanga wana ndoto Kubwa ambayo wameisubiria kwa miaka Mingi, Klabu hiyo imejiwekea Malengo Makubwa ya Kutinga hatua ya Makundi kwa mara nyingine ili kuenzi kile kilichofanywa na malegend wao mwaka 1998.

Klabu ya Yanga ndiyo timu ya Kwanza Kufuzu Makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kwa mara ya kwanza kutoka Tanzania ambapo ilifanya hivyo mwaka 1998, na kuweka rekodi nyingine ya kutinga hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika kwa mara ya kwanza mwaka 2018.

Mchezo wa marejeano unatarajiwa kuchezwa September 16 2022 kwenye Uwanja wa Al Hilal Omduraman nchini Sudan.

Hiyo itakuwa mara ya pili Yanga inakwenda Sudan kwaajili ya Michezo ya Ligi ya Mabingwa baada ya kufanya hivyo May 1973 ambapo Yanga ilitolewa kwa sare ya 1-1 dhidi ya El Merriekh.

Mpaka kufikia hivi sasa Yanga imecheza Michezo 89 ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, ikipata ushindi mara 29, kutoka Sare mara 30 huku wakipoteza mara 30.

Tiketi za mchezo dhidi ya Al Hilal Club zinapatikana katika vituo tajwa hapa chini!

1:Yanga SC – Jangwani
2:View Blue Sky – Mikocheni
3:Newtech General Traders & Supplier – Ubungo
4:Sabana Business Center – Majimatitu
5:Saggaf Traders – Magomeni
6:Jackson Kimambo – Ubungo (Kibo)
7:Sandaland Sport Wear – Kariakoo
8:Melele Sport Wear – Kariakoo
9:Vunja Bei (Tgroup Limited – Sinza)
10:Vunja Bei (T) Group Limited – Kinondoni
11:Vunja Bei (Group Limited – Sinza)
12:Vunja Bei (U) Group Limited – Mbeya
13:Vunja Bei (U) Group Limited – Kivukoni
14:Fusion Sport Wear Posta
15:Alphan Mohammed Hing’aa – Ubungo (Oilcom)
16:Juma Burrah – Mbeya
17:Juma Burrah – Kivukoni
18:Juma Burrah – Msimbazi Center
19:Mtemba Service Company – Mwembe Yanga
20:Mkaluka Trader Limited – Machinga Complex
21:Mkaluka Trader Limited – Kivukoni
22:Robert Nyambululu – Kigamboni Ferry
23:Robert Nyambululu – Kivukoni
24:Gaitano Samwel – Mbagala (Zakiem)
25:Khalfan Mohammed – Ilala Bungoni
26:Kibacho Juma – Morogoro
27:Mwanaidi Yusufu – Izina Morogoro(turiani)
28:Godwin Fredy Mmari – Geita Mjini
29:Twisty Investment Company Ltd – Geita (Soko La Madini)
30:Gwambina Lounge gwambina (Tcc Sigara)
31:Ruluthumu Ally Hassani Mbagala Zakhiem

Tiketi za mchezo dhidi ya Al Hilal Club zinapatikana katika maduka ya TTCL Tanzania nzima.

1.TTCL Nyerere Road
2.TTCL Posta – Airport
3.TTCL – Osterbay
4.TTCL Kijitonyaama
5.TTCL Kibo Complex
6.TTCL Shop – Upanga
7.TTCL Shop – Morogoro
8.TTCL Shop – Dodoma
9.TT5CL Shop – Lindit
10.TTCL Shop – Kibaha
11.TTCL Shop – Mbeya
12.TTCL Shop – Klm
14.TTCL Shop – Tanga
15.TTCL Shop Geita
16.TTCL Shop – Arusha
17.TTCL Shop – Bukoba
18.TTCL Shop – Mwanza
19.TTCL Shop – Songea
20. TTCL Shop – Magomeni

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya | Jisajili hapa Kushinda Zawadi

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya

BETI NA PARMATCH USHINDE MAMILIONI

Kampuni ya Michezo ya KUBETI na KASINO za Mtandaoni Tanzania PARMATCH imezindua Ofa mpya ya Bonasi kwa Wateja wapya.

Kila mteja mpya atakayejisajili na PARMATCH atajinyakulia BONASI sawa na kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza kuanzia Shilingi 1,000 hadi milioni moja kwa kila mteja.

Akizungumza katika uzinduzi wa BONASI hiyo Afisa Masoko wa Parmatch amesema kuwa Bonasi hiyo itawahusu wateja wapya watakaojisajili na kuweka salio kwenye akaunti zao.

Ili uweze kujisajili na PARMATCH unatakiwa kutembelea tovuti yao kwa kugusa HAPA Kisha Jisajili.

Kujiunga na PARMATCH na kupata Bonasi ya hadi 1,000,000 (Milioni Moja) Ukideposit salio kwenye akaunti yako Bofya HAPA.

Unaweza kupata Taarifa hii kwa undani zaidi kwa kubofya Parmatch.co.tz

IFAHAMU Faida ya kuwa na App ya Nijuze Habari kwenye simu yako.

IFAHAMU Faida ya kuwa na App ya Nijuze Habari kwenye simu yako.IFAHAMU Faida ya kuwa na App ya Nijuze Habari kwenye simu yako.

FAIDA YA KUWA NA NIJUZE HABARI APPUkiwa na App hii utapata Kutazama Mubashara Mechi za Tanzania na nje ya Tanzania kwa kuchagua Category ya MECHI LIVE kwenye App yetu.

Pia utaweka kutazam habari na Matukio mbali mbali Mubashara masaa 24 kutoka Channel za TBC ONE, CHANNEL TEN, STAR TV, EATV, ABOOD TV na nyinginezo.

Wapenzi wa MUZIKI wataweza kutazama Mubashara nyimbo mpya na za zamani kwa masaa 24 kutoka Tanzania na nje ya Tanzania kupitia Channel za TBC TWO, SANYUKA TV, TV 47, AFRO BEAT na nyinginezo.

Aidha kwenye Category ya DINI utapata Kutazama Mubashara Kiganjani mwako Channel ya IBN, Channel ya Nabii Mwamposa (A RISE AND SHINE) pamoja na ABOOD TV.

Kwa Upande wa Kusikiliza Radio, tumekuwekea radio za CLOUDS FM, EA RADIO, UFM na BONGO FLEVA kwaajili nyimbo zote mpya na zamani.

Nijuze Habari bado tunaendela kuongeza Channel na habari kwenye App yetu ili kukupa kilicho bora zaidi, hivo endelea kuwa na App yetu update yoyote mpya.

Sambaza App yetu kwa ndugu jamaa na marafiki, waibie hii siri ili wasipitwe na burudani hizi moto moto.

BOFYA HAPA KUDOWNLOAD BURE KUTAZAMA MUBASHARA TAARIFA ZOTE.

DOWNLOAD App Yetu Mpya Kutazama Mechi Mubashara, Magazeti ya Kila Siku asubuhi Pamoja Na Habari Nyingine Nyingi.

Download Bure App mpya ya Nijuze Habari kuweza kuangalia Mpira na utaweza kuona Matokeo na Ratiba ya ligi zote kubwa Duniani.

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch

Takwimu zinasema kwamba kubeti kwa simu ya mkononi ndio mtindo mkubwa leo kwa sababu uhusisha sehemu kubwa ya soko la kubeti kiujumla. Zaidi ya hilo, kunatarajiwa kukua katika miaka kumi ijayo.

Kama wewe ni mpya kwenye kubeti, ukijaribu kuweka mikeka ya kwanza au wewe ni mtaalamu mwenye uzoefu unayetafuta machaguo mazuri zaidi ya kubeti kwa simu ya mkononi, Parimatch ndio haswa kile unachokitafuta! Ni jukwaa la kubeti linaloaminika na lililothibitika kufanya kazi Tanzania ambalo hutoa huduma nzuri zaidi za sehemu ya kubetia.

Kubeti Michezo kwa Simu ya Mkononi ni Nini?

Kitu chenyewe ni kwamba umiliki wa simu janja unaongezeka kwa kasi ulimwenguni kote. Wamiliki wa tovuti za kubeti kwa simu za mkononi wanatambua mtindo huu na wanaitikia ipasavyo ili wasipoteze wateja wao.

Siku hizi, sehemu zote za kubetia zinazofahamika vizuri na zenye sifa nzuri — ikihusisha Parimatch — zina matoleo ya simu za mkononi. Baadhi ya majukwaa ya kubeti yamelenga kwenye kuunda app za kubeti mtandaoni kwa simu ya mkononi yakifukuzia lengo la kufanya kubeti kuwe rahisi zaidi.

Wengine wanaunda toleo la simu ya mkononi la tovuti yao na kulifanya kuwa bora kabisa. Parimatch hufanya kazi katika pande zote mbili.

Kutokana na uzoefu wetu, tunajua kwamba kubeti kwa simu ya mkononi ni suluhisho la haraka sana na rahisi sana kwa wale wanaopendelea kubeti muda wowote na mahali popote.

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

Kubeti kwa Simu ya Mkononi Kunatofautiana Vipi na Kubeti kwenye Kompyuta?

Kubeti kwa simu ya mkononi humaanisha kutumia simu yako janja kuweka mikeka. Kwa ujumla, hakuna tofauti kubwa kati ya kubeti kwa simu ya mkononi na kubeti kwa kompyuta.

Unatumia huduma za jukwaa hilo hilo lakini kutoka kwenye vifaa tofauti. Nafasi, marupurupu, na bonasi ni sawa kwa watumiaji wote. Unahitaji tu kupakua app ya simu ya mkononi kutoka App Store au Google Play Market. Hata hivyo, kunaweza kuwa na tofauti baadhi zinazohusiana na mchakato wa kubeti. Kiolesura cha mtumiaji pia ni tofauti.

Faida za Juu za Kubeti kwa Simu ya Mkononi

Asante kwa teknolojia inayoendelea kubadilika, unaweza kuweka mikeka yako muda wowote na mahali popote kabisa. Unahitaji tu kuwa na chombo cha mkononi chenye mwunganisho wa intaneti.

Acha tupitie faida kuu za kubeti kwa simu ya mkononi.

1.Huokoa muda wako

Sote tuna vyombo vya mikononi vilivyowashwa muda wote. Unaweza kupakua app na kuweka mikeka yako ukiwa mahali popote duniani. Hakuna uhitaji wa kusubiri mpaka uwe mbele ya kompyuta yako.

2.Una machaguo zaidi

App za simu za mkononi zinaweza kuwa na machaguo zaidi kwaajili ya watumiaji wake. Mameneja ubashiri wa simu za mkononi hujitahidi kuwapa watumiaji wao matukio mbalimbali ya kimichezo. Zaidi ya hayo, app za simu za mkononi kwa kawaida zina machaguo zaidi ya kuchagua.

3.Utahabarishwa kila wakati

App za simu za mkononi zinaweza kukuarifu kuhusu matangazo mazuri zaidi au matukio yanayokuja. Zaidi ya hilo, daima utahabarishwa kuhusu nini kinatokea katika dunia ya kubeti. Takwimu za muda huo huo zinapatikana 24/7. Zaidi ya hayo, ni rahisi zaidi kufuatilia hasara na faida zako.

4.Malipo ni rahisi

Hauhitaji kutumia kompyuta yako mpakato kutoa pesa. Ukiwa na app ya kubetia, kwa urahisi utatoa pesa wakati wowote; mibofyo michache tu inahitajika.

5.Unaweza kutumia app yako wakati wowote

Mchana au usiku, unaweza kuweka mikeka 24/7 kutoka kwenye app yako ya simu ya mkononi.

Mafadhaiko Makubwa Zaidi na Kubeti kwa Simu ya Mkononi

Haya hapa ni masuala machache ambayo yanaweza kukukatisha tamaa wakati unatumia app za kubeti kwa simu ya mkononi:

1.Unahitaji kubadili badili kati ya kurasa

Hata hivyo, mengi hutegemea kwenye app ya kubeti mtandaoni au aina ya mikeka ambayo unatumia. Wakati mwingine, unahitaji kuhama kati ya kurasa kwaajili ya kuangalia mikeka ya timu moja kushinda, utofauti, au jumla.

Ni dhahiri kwamba unataka kuwa na taarifa zote zipatikane kwenye skrini. Lakini kubeti kwa simu ya mkononi hakuwezi kukidhi hitaji hili; unahitaji kubadili badili kati ya kurasa kufuatilia mabadiliko.

Kwenye Parimatch, daima tunafanya kazi kuufanya uzoefu wako wa utumiaji kuwa mzuri zaidi. Hivyo tunajali kwamba daima uwe na taarifa unazohitaji.

2.Unaweza kukumbana na changamoto za kuingia

Unapoweka mikeka kwenye chombo chako cha mkononi, unaruhusiwa kuweka mikeka kwenye michezo ambayo inaendelea. Kwa hiyo, unataka kufuatilia matokeo na kufanya kila kitu kusasisha mchezo. Lakini wakati mwingine unaweza kutolewa nje kipindi ambacho hakikutarajiwa kabisa.

Wakati ni kitu ambacho hutokea kwenye app nyingi, kwenye Parimatch tunajitahidi kuhakikisha app yetu inafanya kazi vizuri muda wote.

Unaweka Vipi Mikeka na App ya Kubeti ya Parimatch

Kubeti kwenye Parimatch ni rahisi na wazi. Zaidi ya hilo, kuna sababu nyingi kwanini unahitaji kutumia jukwaa hili (hasa kama app kwa ajili ya kubetia mpira wa miguu): mkusanyiko mpana wa mechi za soka, kubeti mubashara, vipengele rahisi vya kuweka pesa kwa simu ya mkononi, na msaada kwa wateja rafiki.

Kama mwishowe unataka kujaribu mbinu yako ya kubeti na Parimatch, inakubidi upakue Parimatch APK mara moja! Utaratibu huu huchukua sekunde chache tu.

Huu hapa ni mwongozo wa kina juu ya jinsi ya kupakua app ya Parimatch na mwishowe kufurahia kubeti kwa simu ya mkononi:

  • Kwenye simu yako ya mkononi, nenda kwenye tovuti yetu parimatch.co.tz na bonyeza kitufe cha kati.

Parimatch menu button on mobile website

  • Menyu ya Parimatch itafunguka. Unahitaji kuchagua “Apps Android/iOS”.

Parimatch app in a menu 

  • App (Parimatch APK) itapakuliwa na kusanikishwa papo hapo.
  • Kama mchakato huu hauanzi, nenda kwenye mipangilio ya usalama kwenye simu yako na wezesha upakuaji app kutoka kwenye vyanzo visivyojulikana.
  • Tafuta app ya Parimatch ya Tanzania kwenye skrini ya simu yako na ibonyeze.
  • App itakuomba kupitia utaratibu rahisi wa usajili. Huwezi kuweka mikeka mpaka utie sahihi. Huchukua sekunde chache; unahitaji tu kuthibitisha namba yako ya simu (au barua pepe) na kuweka nenosiri.

Parimatch app login screen

  • Weka pesa kiasi kuanza kubeti
  • Nenda kwenye Michezo au Mubashara na pitia kuangalia michezo na mechi zinazopatikana.
  • Chagua mchezo na nini cha kubetia. Bofya kwenye mechi maalum kwaajili ya machaguo yote yanayopatikana.

Betting on football match with Parimatch app

  • Weka mikeka yako.
  • Ingiza dau lako na thibitisha mikeka yako!

Kama unataka kufuatilia mikeka yako inatakiwa uende kwenye sehemu ya “Mikeka Yangu”. Katika sehemu hii, unaweza pia kuchagua kubebenisha mikeka au mikeka ya mfumo.

The post MATOKEO Yanga SC vs Al Hilal October 08 2022 CAF Champions League appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz