Dave Chappelle Attacker Charged with Assault - EDUSPORTSTZ

Latest

Dave Chappelle Attacker Charged with AssaultThe man who tackled @davechappelle has been identified and charged with felony assault with a deadly weapon! According to @nypost, Lee is being held on $30,000 bail. Lee was reportedly holding a replica handgun with a Knife blade inside of it.


Mwanaume Aliyemvamia Mchekeshaji #DaveChappelle Kwenye Hollywood Bowl Usiku Wa Kuamkia Leo Huko Jijini Los Angeles, Ametambulika na Kufunguliwa Mashtaka Ya Kushambulia Kwa Silaha Kali. Kwa Mujibu Wa #NyPost, Kijana Huyo Aitwaye Isaiah Lee Ameshikiliwa Kwa Dhamana Ya TSH.MILIONI 69.7/= . Lee Aliripotiwa Kuwa Na Bunduki Mkononi Iliyokuwa Na Kisu Ndani Yake


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz