Vanessa Kuja Bongo Afunguka "Sijamzika Kaka Yangu, Sijamleta Shemeji Yenu, Sijamleta Seven" - EDUSPORTSTZ

Latest

Vanessa Kuja Bongo Afunguka "Sijamzika Kaka Yangu, Sijamleta Shemeji Yenu, Sijamleta Seven"



Kupitia Insta Live aliyofanya, Mwanamuziki Vanessa Mdee amemjibu shabiki aliyeuliza ni lini Msanii huyo atarudi Tanzania, Vanessa amedai atakuja nchini hivi karibuni, kuna vingi vinamfanya aje, kwanza hakuwepo wakati wa mazishi ya kaka yake,pili bado hajamleta shemeji yetu Rotimi  pamoja na Seven (mtoto wao, Vee & Rotimi). Hivyo lazima aje Tanzania hivi karibuni.

Unammis kwa asilimia ngapi, Vanessa Mdee kwenye game?




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz