LIVERPOOL YAICHAPA BENFICA 3-1 LISBON -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

LIVERPOOL YAICHAPA BENFICA 3-1 LISBON -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Liverpool imeendeleza ubabe baada ya jana kuwachapa wenyeji, Benfica mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa da Luz Jijini Lisbon, Ureno.
Mabao ya Liverpool yalifungwa na Ibrahima Konate dakika ya 17, Sadio Mane dakika ya 34 na Luis Diaz dakika ya 87, wakati la Benfica lilifungwa na Darwin Nunez dakika ya 49.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz