Ligi ya Beach Soccer Imeendelea Tena Katika Viwanja vya Coco Beach-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ligi ya Beach Soccer Imeendelea Tena Katika Viwanja vya Coco Beach-Michezoni leo

                                                      Beach Soccer mambo ni moto

LIGI ya Beach Soccer imeendelea  katika viwanja vya Coco Beach ambapo mechi za makundi mawili A na B zilichezwa.

 

Ulianza mchezo wa Kundi A kati ya Ilala v PCM ambapo baada ya mchezo kukamilika ubao ulisoma Ilala 7-7 PCM na mshindi alipatikana kwa penalti na ni Ilala ilishinda penalti 5-3 PCM.

 

Mchezo wa kundi B ulianza ule wa Sayari dhidi Mburahati na Sayari ilipata mabao 3-4 Mburahati.

                      Mashindano yanaendelea kushika kazi katika viwanja vya Coco Beach

Katika mchezo wa pili wa kundi B katika Ligi ya Beach Soccer inayodhamiwani na Global Online uliwakutanisha Kijitonyama v Mshikamano FC na ulikamilika kwa Kijitonyama kushinda mabao 9-3.

 

Mchezo wa mwisho ulikuwa kati ya Kisa FC 2-4 Mburahati

The post Ligi ya Beach Soccer Imeendelea Tena Katika Viwanja vya Coco Beach appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz