LIGI KUU YAREJEA LEO, UHONDO WOTE AZAM TV-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

LIGI KUU YAREJEA LEO, UHONDO WOTE AZAM TV-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BAADA ya mapumziko ya wiki moja na ushei kupisha kalenda y mechi za kimataifa, Ligi Kuu ya Tanzania Bara inarejea leo kwa mchezo mmoja, Polisi Tanzania wakiwakaribisha Ruvu Shooting Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, ambayo itaonyeshwa LIVE na Azam Sports 1 HD kuanzia Saa 10:00 jioni.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz