CHELSEA YAWATANDIKA SOUTHAMPTON 6-0 ST MARY’S-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CHELSEA YAWATANDIKA SOUTHAMPTON 6-0 ST MARY’S-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Chelsea imezinduka kwa ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji, Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. Mary's, Southampton, Hampshire.
Mabao ya Chelsea leo yamefungwa na Marcos Alonso dakika ya nane, Mason Mount dakika ya 16 na 54, Timo Werner dakika ya 21 na 49 na Kai Havertz dakika ya 31.
Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 59 katika mchezo wa 29, ingawa inabaki nafasi ya tatu, ikizidiwa pointi 13 na Liverpool walio nafasi ya pili, nyuma ya Manchester City wenye pointi moja zaidi yao, wote wakiwa wamecheza mechi 30.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz