CHELSEA YAIFUATA LIVERPOOL FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CHELSEA YAIFUATA LIVERPOOL FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Chelsea imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace Jumapili Uwanja wa Wembley Jijini London.
Katika mchezo huo mkali wa Nusu Fainali, mabao ya The Blues yamefungwa na Ruben Loftus-Cheek dakika ya 65 na Mason Mount dakika ya 76.
Sasa Chelsea watakutana na Liverpool katika Fainali Mei 14, yakiwa ni marudio ya Fainali ya Carabao Cup   ambayo Liverpool ilishinda kwa penalti 11-10 baada ya sare ya 0-0 Februari 27 hapo hapo Wembley.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz