BARCELONA YATOA SARE 1-1 NA FRANKFURT UJERUMANI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BARCELONA YATOA SARE 1-1 NA FRANKFURT UJERUMANI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Eintracht Frankfurt jana wamelazimishwa sare ya 1-1 na Barcelona katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya UEFA Europa League Uwanja wa Deutsche Bank Park Jijini Frankfurt, Ujerumani.
Frankfurt walitangulia kwa bao la Ansgar Knauff dakika ya 48, kabla ya Ferran Torres kuisawazishia Barca dakika ya 66.
Timu hizo mbili zilizoqngukia kwenye michuano hiyo kutoka Ligi ya Mabingwa, zitarudiana Aprili 14 Hispania na mshindi wa jumla atakutana na mshindi kati ya West Ham United ya England na Lyon ya  Ufaransa.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz