BARCELONA YAPIGWA 3-2 CAMP NOU NA KUTUPWA MJE EUROPA LEAGUE -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BARCELONA YAPIGWA 3-2 CAMP NOU NA KUTUPWA MJE EUROPA LEAGUE -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Barcelona wametupwa nje UEFA Europa League baada ya kuchapwa 3-2 na Eintracht Frankurt ya Ujerumani usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou, Barcelona nchini Hispania.
Mabao ya Eintracht Frankurt yalifungwa na Filip Kostic mawili dakika ya nne kwa penalti na 69 na Santos Borre dakika ya 36, wakati ya Barca yalifungwa na Sergio Busquets dakika ya 90 na ushei na Memphis Depay kwa penalti dakika ya ushei pia.
Kwa matokeo hayo, Eintracht Frankurt wanakwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-3 kufuatia sare ya 1-1 kwenye mechi ya kwanza Ujerumani.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz