ARSENAL YAPIGWA 2-1 PALE PALE EMIRATES -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ARSENAL YAPIGWA 2-1 PALE PALE EMIRATES -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Arsenal wamechapwa 2-1 na Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates Jijini London.
Mabao ya Brighton leo yamefungwa na Leandro Trossard dakika ya 28 na kiungo Mzambia, Enock Mwepu dakika ya 66, wakati la Arsenal limefungwa na Martin Odegaard dakika ya 89.
Kwa ushindi huo, 37 katika mchezo wa 31 ikisogea nafasi ya 11, wakati Arsenal inabaki na pointi zake 54 za mechi 30 nafasi ya tano.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz