ARSENAL YACHAKAZWA 3-0 NA CRYSTAL PALACE LONDON-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ARSENAL YACHAKAZWA 3-0 NA CRYSTAL PALACE LONDON-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Crystal Palace wameibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Selhurst Park Jijini London.
Mabao ya Crystal Palace yamefungwa na Jean-Philippe Mateta dakika ya 16, Jordan Ayew dakika ya 24 na Wilfried Zaha dakika ya 74 kwa penalti.
Kwa ushindi huo, Crystal Palace ya kocha Patrick Vieira, Nahodha na kiungo wa zamani wa Arsenal, inafikisha pointi 37 katika mchezo wa 30 nafasi ya tisa, wakati Arsenal inabaki na pointi zake 54 za mechi 29 sasa nafasi ya tano.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz