YANGA YAGAWA KADI MPYA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

YANGA YAGAWA KADI MPYA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah akimkabidhi Kadi ya Pili ya Mwanachama wa klabu ya Yanga leo visiwani Zanzibar, Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid. 


MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Viongozi wa Yanga SC katika hafla ya utoaji wa kadi mpya za Uanachama kwenye Ukumbi wa Wawakilishi, Zanzibar.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz