MAN CITY YAIFUATA LIVERPOOL KIBABE WEMBLEY -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAN CITY YAIFUATA LIVERPOOL KIBABE WEMBLEY -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Manchester City imetinga Nusu Fainali ya Kombe la FA England kwa kishindo baada ya kuwachapa wenyeji,Southampton mabao 4-1 Jumapili Uwanja wa St. Mary's mjini Southampton, Hampshire.
Mabao ya Manchester City yamefungwa na Raheem Sterling dakika ya 12, Kevin De Bruyne dakika ya 62 kwa penalti, Phil Foden dakika ya 75 na Riyad Mahrez dakika ya 78, wakati la Southampton limefungwa na Aymeric Laporte aliyejifunga dakika ya 45 na ushei.
Sasa Man City itakutana na wapinzani wao katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England, Liverpool mwezi ujao Uwanja wa Wembley Jijini London.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz