LIVERPOOL YATINGA NUSU FAINALI FA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

LIVERPOOL YATINGA NUSU FAINALI FA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

LIVERPOOL imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Nottingham Forest Uwanja wa The City Ground Nottingham, Nottinghamshire.
Bao pekee la Liverpool katika mchezo huo limefungwa na mshambuliaji Mreno, Diogo Jota dakika ya 78 na sasa Wekundu hao watakutana na Manchester City mwezi ujao Uwanja wa Wembley Jijini London.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz