LIVERPOOL YASINDIKIZWA ROBO FAINALI NA BAKORA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

LIVERPOOL YASINDIKIZWA ROBO FAINALI NA BAKORA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Liverpool wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kuchapwa 1-0 na Inter Milan ya Italia usiku wa jana Uwanja wa Anfield Jijini Liverpool, England katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora.
Bao pekee la Inter jana lilifungwa na Lautaro Martinez dakika ya 61, kabla ya timu hiyo ya Milan kupata pigo kufuatia mshambuliaji wake, Alexis Sanchez kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 63 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano.
Liverpool inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 2-1 kufuatia kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Milan, mabao ya Roberto Firmino na Mo Salah.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz