LIVEROOOL YAICHAPA BRIGHTON 2-0 UGENINI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

LIVEROOOL YAICHAPA BRIGHTON 2-0 UGENINI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Liverpool jana imepata ushindi wa ugenini wa 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The AMEX.
Mabao ya Liverpool yalifungwa na Luis Diaz dakika ya 19 na Mohamed Salah kwa penalti dakika ya 61 baada ya Yves Bissouma kuunawa mpira.
Kwa ushindi huo Liverpool inafikisha pointi 66, ingawa inabaki nafasi ya pili, ikizidiwa pointi tatu na Manchester City wanaoongoza, wakati Brighton inabaki na pointi zake 33 katika nafasi ya nane baada ya timu kucheza mechi 28.  
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz