CHELSEA YATANGULIA NUSU FAINALI KOMBE LA FA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CHELSEA YATANGULIA NUSU FAINALI KOMBE LA FA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABAO ya Romelu Lukaku dakika ya 15 na ‘birthday boy’ Hakim Ziyech dakika ya 31 yameipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Middlesbrough katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England Jumamosi Uwanja wa Riverside.
Kwa matokeo hayo, mabingwa hao wa Ulaya wanakwenda Nusu Fainali ya FA ambayo itapigwa Uwanja wa Wembley Jijini London.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz