BENZEMA APIGA HAT TRICK REAL YAICHAPA PSG 3-1-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BENZEMA APIGA HAT TRICK REAL YAICHAPA PSG 3-1-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Real Madrid wametinga Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Paris Saint-Germain usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Santiago Bernabéu Jijini Madrid, Hispania.
Mabao yote ya Real Madrid yamefungwa na mshambuliaji mkongwe Mfaransa, Karim Benzema dakika za 61,76 na 78 baada ya PSG kutangulia kwa bao la mshambuliaji Mfaransa pia, Kylian Mbappe dakika ya 39.
Real wanasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2, kufuatia kufungwa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza wa 16 Bora Ufaransa, bao la Mbappe.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz