AUBAMEYANG APIGA MBILI BARCA YAITANDIKA REAL 4-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AUBAMEYANG APIGA MBILI BARCA YAITANDIKA REAL 4-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Barcelona imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya wenyeji, Real Madrid katika mchezo wa La Liga Jumapili Uwanja wa Santiago Bernabéu Jijini Madrid.
Mabao ya Barcelona yamefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang mawili, dakika ya 29 na 51, Ronald Araujo dakika ya 38 na Ferran Torres dakika ya 57.
Kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 54 katika mchezo wa 28 na kusogea nafasi ya tatu, sasa ikizidiwa pointi 12 na Real ambao pia wamecheza mechi moja zaidi.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz