ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 1-0 EMIRATES -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 1-0 EMIRATES -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABAO ya Thomas Partey dakika ya na Alexandre Lacazette kwa penalti dakika ya baada ya Çaglar Soyuncu kuunawa mpira yameipa Arsenal ushindi wa 2-0 dhidi ya Leicester City Uwanja wa Emirates Jijini London leo.
Arsenal inafikisha pointi 51 na kurejea nafasi ya nne, wakati Leicester inabaki na pointi zake 33 za katika nafasi ya 12 baada ya wote kucheza mechi 26.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz