ARSENAL YAICHAPA ASTON VILLA 1-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ARSENAL YAICHAPA ASTON VILLA 1-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BAO la Bukayo Saka dakika ya 30 limeipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumamosi Uwanja wa Villa Park Jijini Birmingham.
Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 54 na kuendelea kukaa nafasi ya nne, ikizidiwa tano na Chelsea baada ya wote kucheza mechi 28, wakati Aston Villa inabaki na pointi zake 36 za mechi 29 nafasi ya tisa.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz