Sababu ya Kifo Cha Dr. Mwele Ntuli Malecela Hii Hapa... - EDUSPORTSTZ

Latest

Sababu ya Kifo Cha Dr. Mwele Ntuli Malecela Hii Hapa...


Dr. Mwele Ntuli Malecela aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya duniani (WHO) anayeshughulikia Magonjwa yasiyopewa kipaumbele amefariki leo.

Mmoja wa Ndugu wa Marehemu William Malecela (@lemutuz_superbrand ) amethibitisha taarifa za kifo na kusema ———>

“Ni kweli amefariki leo Hospitalini Geneva, Switzerland alikua anasumbuliwa na Kansa, msiba utakuwa Dodoma” —— William Malecela (Lemutuz).

Dkt. Mwele pia amewahi kuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) nchini Tanzania.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz