MECHI ZA 16 BORA ASFC KUCHEZWA KATIKATI YA MWEZI ZOTE-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MECHI ZA 16 BORA ASFC KUCHEZWA KATIKATI YA MWEZI ZOTE-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

RATIBA ya Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetoka na mechi zote za michuano hiyo maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) zitachezwa katikati ya mwezi huu.
Azam FC na Baga Friends watacheza Februari 12 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, Yanga SC na Biashara United Februari 15 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam na mabingwa watetezi, Simba SC watakuwa wageni wa Ruvu Shooting Februari 16 Uwanja wa Mkapa pia.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz