Mchezaji Bernad Morrison Aanza Kuwavuruga Simba, Adaiwa Kuwa na Mawasiliano na Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Mchezaji Bernad Morrison Aanza Kuwavuruga Simba, Adaiwa Kuwa na Mawasiliano na Yanga


Mshambuliaji wa klabu ya Simba zamani Yanga Bernard Morrison ameanza tena kuteka vichwa vya habari kutokana na taarifa za vimbweka vyake anavyofanya kambini mitaa ya Msimbazi kuanza kuvuja.

Taarifa zinasema kuwa baadhi ya viongozi wamemtupia maneno na lawama kuwa anacheza chini ya kiwango makusudi siku za hivi karibuni na kubainika kurejesha mawasiliano na Waajiri wake wa zamani mitaa ya Jangwani.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz