GABASKI AKUTANA NA MAKIPA WA SIMBA CASABLANCA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

GABASKI AKUTANA NA MAKIPA WA SIMBA CASABLANCA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KIPA wa Zamalek ya Misri, Mohamed Qotb Abou Gabal Ali, ‘Gabaski’ akiwa na makipa wa Simba SC, Aishi Manula, 
Abdul Salum na Beno Kakolanya Jijini Casablanca nchini Morocco jana. 


Wakati Zamalek itamenyana na wenyeji, Wydad Athletic kesho katika mechi ya Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba watamenyana na wenyeji wengine, RSB Berkane Jumapili katika mechi ya Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika.
Gabaski aling’ara kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika akiisaidia Misri kufika fainali kabla ya kufungwa na Senegal kwa penalti nchini Cameroon.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz