CHELSEA YAICHAPA LILLE 2-0 LONDON-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CHELSEA YAICHAPA LILLE 2-0 LONDON-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Chelsea wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Lille ya Ufaransa katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge Jijiji London.
Mabao ya Chelsea yamefungwa na Kai Havertz dakika ya nane na Christian Pulisic dakika ya 63 na kwa ushindi huo, mabingwa hao watetezi watahitaji sare ugenini ili kwenda Robo Fainali.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz