Yanga Yamalizana na Ngushi wa Mbeya Kwanza-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Yanga Yamalizana na Ngushi wa Mbeya Kwanza-Michezoni leo

CRISPIN Ngushi, aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya Kwanza sasa rasmi ni mali ya Yanga.

Nyota huyo ndani ya Ligi Kuu Bara ametupia jumla ya mabao matatu na alikuwa ni kinara ndani ya Mbeya Kwanza.

Alikuwa ni mshambuliaji wa kwanza msimu wa 2021/22 kufunga bao la kideo ambalo ni Acrobatic ilikuwa mbele ya Mbeya City katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Sokoine.

Ni mkali wa mabak ya kideoni sasa ni rasmi ni kijani na njano akiwa amepewa dili la miaka miwili.

The post Yanga Yamalizana na Ngushi wa Mbeya Kwanza appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz