Yanga Yaitungua Coastal Mkwakwani-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Yanga Yaitungua Coastal Mkwakwani-Michezoni leo

YANGA imefanikiwa kuondoka  na alama zote tatu mbele ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

Ni mabao ya Fiston Mayele dakika ya 40 na lile la pili ni Said Ntibanzokiza ambaye alipachika bao hilo dakika ya 89.

 

Nyota wa Coastal Union waliweza kwenda mapumziko wakiwa wameokota bao moja nyavuni na waliporudi tena kipindi cha pili wakiokota bao moja.

Ushindi huo unaifanya Yanga kuzidi kujikita nafasi ya kwanza kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 12 na pointi zao ni 32.

The post Yanga Yaitungua Coastal Mkwakwani appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz