Kikosi cha Yanga kimewasili Mwanza leo Januari 27, 2022 tayari kwa maandalizi ya mchezo wetu wa Kombe la ASFC dhidi ya Mbao Fc, Jumamosi kwenye Dimba la CCM Kirumba.
The post Yanga Watua Mwanza ‘Kibosi’ Wapokelewa na Mashabiki appeared first on Global Publishers.
No comments:
Post a Comment