SHIBOUB, MUIVORY COAST KUCHEZEA SIMBA MAPINDUZI CUP-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SHIBOUB, MUIVORY COAST KUCHEZEA SIMBA MAPINDUZI CUP-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MSHAMBULIAJI Msudan, akiwa mazoezini na klabu ya Simba ambako amerejea kwa majaribio ambayo kama atamvutia kocha Mspaniola, Pablo Franco Martin atasajiliwa tena.


Pamoja na Shiboub, kuna mchezaji mwingine kutoka Ivory Coast naye pia anafanya majaribio. Simba inajiandaa na mechi yake ya kwanza ya Kundi C Kombe la Mapinduzi dhidi ya Selem View Jumatano.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz