Ronaldo de Lima Anawaza Kumsajili Lionel Messi, CR7-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ronaldo de Lima Anawaza Kumsajili Lionel Messi, CR7-Michezoni leo

STAA wa zamani wa Brazil, Ronaldo de Lima amefunguka kuwa kama angekuwa na fedha angewasajili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.


Ronaldo aliwahi
kutesa na klabu tofauti kama Inter Milan, Real Madrid, Barcelona, PSV,AC Milan, Corinthians na
timu ya Taifa ya Brazil.

Cristiano kwa sasa ana miaka 36 na anakipiga ndani ya Manchester United, huku Messi akiwa
na miaka 34 akicheza
Paris Saint-Germain.


Mkongwe huyo
anamiliki timu ambayo ilikuwa inashiriki La Liga msimu uliopita na sasa imeshuka daraja ambayo
ni Real Valladolid.


Pia ana timu nyingine
kwao Brazil inafahamika kama Campeonato Brasileiro inayoshiriki Serie B na Cruzeiro.
Ronaldo anasema:
“Natamani kuona siku moja kama ningekuwa na fedha ningeweza kuwasajili wote wawili. Lakini nafikiri nitamsajili Messi.”

STORI: SÃO PAULO, Brazil

The post Ronaldo de Lima Anawaza Kumsajili Lionel Messi, CR7 appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz