MISRI YAICHAPA SUDAN 1-0 NA KUSONGA MBELE AFCON-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MISRI YAICHAPA SUDAN 1-0 NA KUSONGA MBELE AFCON-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya taifa ya Misri imefanikiwa kufuzu Hatua ya mtoano Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Sudan, bao pekee la beki wa kati, Mohamed Abdelmoneim dakika ya 38 katika mchezo wa mwisho wa Kundi D usiku wa Jumatano Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé, Cameroon.
Mechi nyingine ya Kundi D, Nigeria imeendeleza ubabe kwa kuichapa Guinea-Bissau 2-0, mabao ya Umar Sadiq Mesbah dakika ya 56 na William Paul Troost-Ekong dakika ya 75.
Nigeria inamaliza kileleni na pointi zake tisa, ikifuatiwa na Misri pointi sita na zote zinasonga mbele, wakati Sudan na Guinea-Bissau zilizomaliza na pointi moja kila moja zinarejea nyumbani.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz