MAN CITY YAIKALISHA CHELSEA 1-0 ETIHAD-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAN CITY YAIKALISHA CHELSEA 1-0 ETIHAD-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BAO pekee la Kevin De Bruyne dakika ya 20 limetosha kuipa Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Etihad.
Kwa ushindi huo, Man City wanafikisha pointi 56 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 13 zaidi ya Chelsea wanaofuatia baada ya timu zote kucheza mechi 22.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz