LIVERPOOL YAITANDIKA CRYSTAL PALACE 3-1 SELHURST PARK -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

LIVERPOOL YAITANDIKA CRYSTAL PALACE 3-1 SELHURST PARK -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Liverpool imewachapa wenyeji, Crystal Palace mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumapili Uwanja wa Selhurst Park Jijini London.
Mabao ya Liverpool yamefungwa na Virgil van Dijk dakika ya 18, Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 32 na Fabinho kwa penalti dakika ya 89, wakati la Crystal Palace limefungwa na Odsonne Edouard  dakika ya 55.
Liverpool inafikisha pointi 48 katika mchezo wa 22, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi tisa na Manchester City ambayo pia imecheza mechi moja zaidi, wakati Crystal Palace inabaki na pointi zake 24 za mechi 22 katika nafasi ya 13.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz