KOCHA MKENYA WA BIASHARA UNITED ATUA TA PRISONS-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

KOCHA MKENYA WA BIASHARA UNITED ATUA TA PRISONS-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
KOCHA Mkenya, Patrick Omuka Odhiambo amejiunga na Tanzania Prisons kwa mwaka mmoja kutoka Biashara United ya Mara.
Huo ni miongoni mwa mikakati ya Prisons chini ya Kamishina Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Meja Jenerali Suleiman Mzee kuhakikisha msimu ujao timu hiyo inapata tiketi ya kucheza michuano ya Afrika.


Pichani Odhiambo akiwa na Mkurugenzi wa Ufundi wa Jeshi la Magereza nchini, Kelvin Frednand wakati wa kusaini mkataba huo.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz