KMKM YASHINDA, MLANDEGE YATOA DROO MAPINDUZI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

KMKM YASHINDA, MLANDEGE YATOA DROO MAPINDUZI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya KMKM imeanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Taifa Jang'ombe mabao 2-1 katika mchezo wa Kundi B usiku wa Jumatatu Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Mabao ya KMKM yamefungwa na Eliasa Suleiman dakika ya 34 na la penalti la Abrahman Othman dakika ya 45 na ushei, wakati la Taifa limefungwa na Yasir Masoud dakika ya 40.
Mechi iliyotangulia ya Kundi C baina ya Selem View na Mlandege ilimalizika kwa sare ya bila mabao.
Michuano hiyo itaendelea Jumanne kwa mechi mbili pia, Namungo na Yosso Boys Saa 10:05 jioni na Azam FC dhidi ya Meli 4 City Saa 2:15 usiku zote za Kundi A hapo hapo Uwanja wa Amaan.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz