DODOMA JIJI YALAZIMISHWA SARE NA GEITA 1-1 JAMHURI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

DODOMA JIJI YALAZIMISHWA SARE NA GEITA 1-1 JAMHURI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
WENYEJI, Dodoma Jiji FC wamelazimishwa sare ya 1-1 na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa jana Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Geita walitangulia kwa bao la Daniel Lyanga dakika ya 75, kabla ya Waziri Junior kuisawazishia Dodoma Jiji FC dakika ya 90.
Kwa matokeo hayo, Dodoma Jiji wanafikisha pointi 17 katika nafasi ya tano na Geita Gold inatimiza pointi 13 katika nafasi ya tisa baada ya wote kucheza mechi 12.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz