DENNIS NKANE ATAMBULISHWA RASMI YANGA SC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

DENNIS NKANE ATAMBULISHWA RASMI YANGA SC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KLABU ya Yanga imemtambulisha kinda Denis Nkane kutoka Biashara United ya Musoma mkoani Mara kuwa mchezaji wake mpya wa tatu – akiwafuatia kipa Abdultwalib Mshery kutoka Mtibwa Sugar na kiungo Salum Abubakari ‘Sure Boy’ kutoka Azam FC.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz