CHILUNDA AING’ARISHA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CHILUNDA AING’ARISHA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BAO pekee la mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda limeipa mwanzo mzuri Azam FC katika michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Meli 5 City katika mchezo wa Kundi A usiku wa Jumanne Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Mechi iliyotangulia jioni, timu nyingine ya Bara, Namungo ilishinda pia 2-0 dhidi ya wenyeji wengine, Yosso Boys, Kundi A pia hapo hapo Uwanja wa Amaan.
Mabao ya Namungo FC yamefungwa na Sixtus Sabilo dakika ya 53 na Relliant Lusajo dakika ya 90 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi sita kufuatia kuilaza Meli 4 City katika mchezo wa kwanza Jumapili.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz