CHELSEA YATINGA FAINALI CARABAO CUP-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CHELSEA YATINGA FAINALI CARABAO CUP-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Chelsea imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya kuichapa Tottenham Hotspur 1-0 usiku wa Jumatano Uwanja wa Tottenham  Jijini London.
Bao pekee la Chelsea limefungwa na Antonio Rudiger dakika ya 18 na kwa matokeo hayo, The Blues inakwenda Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-0 kufuatia kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza na itakutana na mshindi kati ya Arsenal na Liverpool.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz