CHELSEA YAILIMA SPURS 2-0 DARAJANI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CHELSEA YAILIMA SPURS 2-0 DARAJANI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABAO ya Hakim Ziyech dakika ya 47 na Thiago Silva dakika ya 55, yameipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku was Jumapili Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
Chelsea inafikisha pointi 47 katika mchezo wa 24, ingawa inabaki nafasi ya tatu ikizidiwa pointi moja na Liverpool ambayo pia ina mechi mbili mkononi, wakati Spurs inabaki na pointi zake 36 za mechi 20 katika nafasi ya saba.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz