CAMEROON YAMALIZA MAKUNDI BILA KUPOTEZA MECHI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CAMEROON YAMALIZA MAKUNDI BILA KUPOTEZA MECHI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Cameroon wamekamilisha mechi zao za Kundi A bila kupoteza hata moja baada ya kutoa sare ya 1-1 na Cape Verde usiku wa Jumatatu Uwanja wa Paul Biya Jijini Yaoundé.
Vincent Aboubakar alianza kuwafungia Cameroon dakika ya 39, kabla ya Garry Rodrigues kuisawazishia Cape Verde dakika ya 53.
Mechi nyingine ya Kundi hilo, Burkina Faso pia ilitoa sare ya 1-1 na Ethiopia Uwanja wa Bafoussam .
Cameroon inamaliza na pointi saba, ikifuatiwa na Burkina Faso pointi nne ambayo pia inafuzu Hatua ya mtoano kwa kuizidi wastani wa mabao Cape Verde, wakati Ethiopia imeshika mkia na pointi yake moja.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz