CAMEROON NA BURKINA ZATINGA NUSU FAINALI AFCON -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CAMEROON NA BURKINA ZATINGA NUSU FAINALI AFCON -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
WENYEJI, Cameroon wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Gambia jana Uwanja Douala.
Mabao ya Cameroon jana yalifungwa na mshambuliaji wa Lyon ya Ufaransa, Karl Brillant Toko Ekambi yote mawili dakika ya 50 na 57 na sasa watakutana na Brukinha Faso, ambayo imeitoa Tunisia kwa kuichapa 1-0, bao pekee la Dango Ouattara dakika ya 45 na ushei Uwanja wa Roumde Adjia, Jijini Garoua. 


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz