Burudani Inanoga Viwanjani, Afrika Na Ufaransa Mambo Ni Moto!-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Burudani Inanoga Viwanjani, Afrika Na Ufaransa Mambo Ni Moto!-Michezoni leo

Robo fainali ya mashindano ya AFCON kuendelea wikiendi hii. Mataifa 8 kuipambania nafasi ya kutwaa ubingwa wa Afrika. Kule Ufaransa, Coupe de France itaendelea! Nani ni nani?

 

Jumamosi hii, Gambia kuchuana na Cameroon katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya AFCON. Gambia wanaingia kwenye hatua hii kama underdog lakini, uwezo wao uwanjani sio kitu cha kubeza. Cameroon wanapewa nafasi kwenye mashindano haya, watafanikiwa? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.57 kwa Cameroon.

 

Mchezo wa pili Jumamosi hii utawakutanisha Burkina Faso vs Tunisia. Mataifa yote yametoka kwenye makundi magumu lakini, wamefika hatua ya robo fainali. Pengine Tunisia anapewa nafasi zaidi kutokana na uzoefu wake kwenye mashindano haya lakini, Burkina Faso nao wanajambo lao uwanjani. Dakika 90 kuamua. Odds ya 2.40 ipo kwa Tunisia.

Waarabu wa Misri kuchuana na wenzao wa Morocco. Hapatoshi! Mo Salah vs Hakimi, nani ni nani? Lolote linaweza kutokea kwenye mchezo huu ambao, pengine ni fainali kabla ya fainali. Meridianbet tumekupatia Odds ya 2.35 kwa Morocco.

 

Senegal watachuana na Equatorial Guniea katika mchezo wa mwisho wa robo fainali. Sadio Mane huyu sio yule wa Liverpool, amepoa sana kwenye mashindano haya. Je, nafasi ya kubeba kombe na timu ya Taifa itampatia motisha? Ifuate Odds ya 1.52 kwa Senegal.

 

Kwenye Coupe de France, PSG watachuana na Nice Jumatatu hii. Hili ni miongoni mwa makombe ya heshima kwenye soka la Ufaransa. Ni nani atakayejiweka kwenye nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa msimu huu? Odds ya 1.42 ipo kwa PSG ndani ya Meridianbet.

The post Burudani Inanoga Viwanjani, Afrika Na Ufaransa Mambo Ni Moto! appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz