BRUNO APIGA MBILI LAKINI MAN U YADROO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BRUNO APIGA MBILI LAKINI MAN U YADROO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Aston Villa usiku jana wamelazimishwa sare ya 2-2 na Manchester United Uwanja wa Villa Park Jijini Birmingham.
Mabao ya Man United yalifungwa na Bruno Fernandes yote dakika ya sita na 67, wakati ya Aston Villa yalifungwa na Jacob Ramsey dakika ya 77 na mchezaji mpyam Philippe Coutinho dakika ya 81.
United wanafikisha pointi 32 katika mchezo wa 20 sasa wakiwa nafasi ya saba, wakati Villa inatimiza pointi 23 mechi 20 pia nafasi ya 13.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz